Kuelekea sehemu ya pili ya mkutano wa majadiliano (Utakaofanyika tarehe 29 Mei hadi Juni 2 jijini Paris Ufaransa), wanachama wa GAIA na BFFP kutoka Afrika watoa wito kwa viongozi wa Afrika kupigania mkataba wa kimataifa wa taka plastiki ulio imara

아프리카 - 환경 정의

Mkataba wa kimataifa wa taka plastiki unaipa Afrika fursa ya kihistoria ya kushughulikia changamoto za kipekee ambazo bara linakabili kutokana na athari mbaya za uwepo wa mifumo ya plastiki. Katika kikao chake cha kwanza, kamati ya majadiliano ya mkataba huu (INC1), iliomba sekretarieti kuandaa, kwa kuzingatiwa makubaliano ya kamati kuelekea kikao chake cha pili, hati yenye vipengele vya msingi vitakavyosaidia kupata mkataba wa kimataifa unaofungamanisha kisheria , kwa kuzingatia uwasilishaji wa nchi zilizo 세헤무 야 엠카타바 암바포  nchi 14 za Kiafrika ziliwasilisha mapenedekezo binafsi ukiachana na mapendekezo jumuishi juu ya Malengo ya msingi; majukumu ya msingi, hatua za kudhibiti na kutekeleza mambo kwenye mkataba huu wa plastiki wa kimataifa.