Mfululizo wa Muhtasari wa UNEA5: Sumu na Afya

- Plastiki -

Plastiki ina kemikali zenye sumu ambazo huingia kwenye chakula chetu, maji, na udongo. Kati ya kemikali zipatazo 10,000 zinazotumika kama viungio vya plastiki, ni chache ambazo zimefanyiwa utafiti sana, achilia mbali kudhibitiwa. Mkataba lazima ushughulikie mzigo wa sumu wa plastiki.