Zilizotupwa: Jumuiya zilizo kwenye Mstari wa Mbele wa Mgogoro wa Kimataifa wa Plastiki

Asia Pacific - Plastiki -

Wakati Uchina ilifunga mipaka yake kwa taka za kigeni mnamo 2018, nchi za Kusini-mashariki mwa Asia zilifurika na takataka zilizojifanya kuwa zinachakatwa, haswa kutoka nchi tajiri za Kaskazini mwa Ulimwengu. Ripoti hii ya uchunguzi inafichua jinsi jumuiya mashinani zilivyoathiriwa na mmiminiko wa ghafla wa uchafuzi wa kigeni, na jinsi wanavyojizatiti.